\v=23 \v~=Wakati punda alipomwona malaika wa \nd Bwana\nd* akiwa amesimama barabarani akiwa na upanga uliofutwa mkononi mwake, punda akageukia upande kuelekea shambani. Balaamu akampiga ili amrudishe barabarani. \¬v \¬p