\p \v=24 \v~=Ndipo malaika wa \nd Bwana\nd* akasimama katika njia nyembamba iliyo kati ya mashamba mawili ya mizabibu, yakiwa na kuta pande zote mbili. \¬v