\v=25 \v~=Punda alipomwona malaika wa \nd Bwana\nd*, alijisukumiza karibu na ukuta, na kugandamiza mguu wa Balaamu ukutani. Ndipo Balaamu akampiga tena punda. \¬v \¬p