\p \v=26 \v~=Kisha malaika wa \nd Bwana\nd* akaendelea mbele na kusimama mahali pembamba ambapo hapakuwepo nafasi ya kugeuka, upande wa kulia wala wa kushoto. \¬v