\v=27 \v~=Punda alipomwona malaika wa \nd Bwana\nd*, alilala chini Balaamu angali amempanda, naye Balaamu akakasirika na kumpiga kwa fimbo yake. \¬v