\v=28 \v~=Kisha \nd Bwana\nd* akakifungua kinywa cha punda, akamwambia Balaamu, “Nimekutendea nini kinachokufanya unipige mara hizi tatu?” \¬v \¬p