\p \v=31 \v~=Kisha \nd Bwana\nd* akafungua macho ya Balaamu, naye akamwona malaika wa \nd Bwana\nd* amesimama barabarani akiwa ameufuta upanga wake. Balaamu akainama, akaanguka kifudifudi. \¬v \¬p