\p \v=32 \v~=Malaika wa \nd Bwana\nd* akamuuliza Balaamu, “Kwa nini umempiga punda wako mara tatu hizi? Nimekuja kukuzuia kwa sababu njia yako imepotoka mbele yangu. \¬v