\p \v=34 \v~=Balaamu akamwambia malaika wa \nd Bwana\nd*, “Nimetenda dhambi. Sikutambua kuwa umesimama barabarani kunizuia. Basi kama haikupendezi, nitarudi.” \¬v \¬p