\p \v=8 \v~=Balaamu akawaambia, “Mlale hapa usiku huu, nami nitawaletea jibu lile \nd Bwana\nd* atakalonipa.” Kwa hiyo wakuu wa Moabu wakakaa naye. \¬v \¬p