\p \v=12 \v~=Balaamu akajibu, “Je, hainipasi kusema kile \nd Bwana\nd* anachoweka katika kinywa changu?” \¬v \¬p