\p \v=16 \v~=\nd Bwana\nd* akakutana na Balaamu, akaweka ujumbe katika kinywa chake akasema, “Rudi kwa Balaki umpe ujumbe huu.” \¬v \¬p