\p \v=17 \v~=Basi Balaamu akarudi kwa Balaki, akamkuta amesimama kando ya sadaka yake, akiwa na wakuu wa Moabu. Balaki akamuuliza, “Je, \nd Bwana\nd* amesema nini?” \¬v \¬p