\p \c#=24 \v=1 \v~=Basi Balaamu alipoona imempendeza \nd Bwana\nd* kubariki Israeli, hakuendelea tena kutafuta uchawi kama nyakati nyingine, bali aligeuza uso wake kuelekea nyikani. \¬v