\p \v=4 \v~=\nd Bwana\nd* akamwambia Mose, “Uwachukue viongozi wote wa watu hawa, uwaue na uwaweke hadharani mchana peupe mbele za \nd Bwana\nd*, ili hasira kali ya \nd Bwana\nd* iweze kuondoka kwa Israeli.” \¬v \¬p