\m \v=22 \v~=Hizi ndizo zilizokuwa koo za Yuda; wale waliohesabiwa walikuwa 76,500. \¬v \¬m