\v=65 \v~=Kwa maana \nd Bwana\nd* alikuwa amewaambia hao Waisraeli hakika wangekufa huko jangwani, wala hakuna mmoja wao aliyeachwa, isipokuwa Kalebu mwana wa Yefune na Yoshua mwana wa Nuni. \¬v \¬p \¬c