\v=11 \v~=Ikiwa baba yake hakuwa na ndugu wa kiume, toa urithi wake kwa ndugu wa karibu katika ukoo wake, ili aumiliki. Hili litakuwa dai la sheria kwa Waisraeli, kama \nd Bwana\nd* alivyomwamuru Mose.’ ” \¬v \¬p