\p \v=18 \v~=Kwa hiyo \nd Bwana\nd* akamwambia Mose, “Mchukue Yoshua mwana wa Nuni, mtu ambaye Roho yuko ndani yake, uweke mkono juu yake. \¬v