\p \v=22 \v~=Mose akafanya kama \nd Bwana\nd* alivyomwagiza. Akamtwaa Yoshua na kumsimamisha mbele ya kuhani Eleazari na kusanyiko lote. \¬v