\v=23 \v~=Kisha akaweka mikono yake juu ya kichwa cha Yoshua na kumpa maagizo, kama vile \nd Bwana\nd* alivyoelekeza kupitia kwa Mose. \¬v \¬p \¬c