\v=3 \v~=“Baba yetu alikufa jangwani. Hakuwa miongoni mwa wafuasi wa Kora, ambao walifungamana pamoja dhidi ya \nd Bwana\nd*, lakini alikufa kwa ajili ya dhambi yake mwenyewe na hakuacha wana. \¬v