\v=12 \v~=Pamoja na kila fahali, kutakuwa na sadaka ya nafaka ya unga laini sehemu tatu za kumi za efa,\f + \fr 28:12 \ft Sehemu tatu za kumi za efa ni sawa na kilo 3.\f* uliochanganywa na mafuta, pamoja na kondoo dume mmoja, sadaka ya nafaka ya unga laini uliochanganywa na mafuta; \¬v