\v=14 \v~=Pamoja na kila fahali kutakuwa na sadaka ya kinywaji nusu ya hini\f + \fr 28:14 \ft Nusu ya hini ni sawa na lita 2.\f* ya divai; pamoja na kila kondoo dume, theluthi moja ya hini,\f + \fr 28:14 \ft Theluthi moja ya hini ni sawa na lita 1.2.\f* na pamoja na kila mwana-kondoo robo hini. Hii ni sadaka ya kuteketezwa ya kila mwezi itakayotolewa kila mwandamo wa mwezi kwa mwaka. \¬v