\v=3 \v~=Waambie: ‘Hii ni sadaka ya kuteketezwa kwa moto mnayomtolea \nd Bwana\nd*: wana-kondoo wawili wa mwaka mmoja wasio na dosari, kama sadaka ya kawaida ya kuteketezwa kila siku. \¬v