\v=5 \v~=kila mmoja atolewe pamoja na sadaka ya nafaka sehemu ya kumi ya efa\f + \fr 28:5 \ft Sehemu ya kumi ya efa ni sawa na kilo moja.\f* ya unga laini uliochanganywa pamoja na robo ya hini\f + \fr 28:5 \ft Robo ya hini ni sawa na lita moja.\f* ya mafuta ya zeituni. \¬v