\v=7 \v~=Sadaka ya kinywaji itakayotolewa pamoja na kila mwana-kondoo ni robo ya hini ya kinywaji kilichochachuka. Mimina sadaka ya kinywaji kwa \nd Bwana\nd* mahali patakatifu. \¬v