\v=2 \v~=Mtatayarisha sadaka ya kuteketezwa kama harufu nzuri impendezayo \nd Bwana\nd* ya fahali mmoja mchanga, kondoo dume mmoja, na wana-kondoo saba wa mwaka mmoja, wote wasio na dosari. \¬v