\v=36 \v~=Toeni sadaka ya kuteketezwa kama harufu nzuri inayompendeza \nd Bwana\nd*, sadaka ya kuteketezwa ya fahali mmoja, kondoo dume mmoja, na wana-kondoo dume saba wa mwaka mmoja, wote wasio na dosari. \¬v