\v=6 \v~=Hivi ni nyongeza ya sadaka za kuteketezwa kila mwezi na kila siku pamoja na sadaka zake za nafaka na sadaka za vinywaji kama ilivyoainishwa. Ni sadaka zinazotolewa kwa \nd Bwana\nd* kwa moto, harufu inayopendeza. \¬v \¬p