\b \p \v=34 \v~=Kwa hiyo Waisraeli wakafanya kila kitu \nd Bwana\nd* alichomwamuru Mose. Hivyo ndivyo walivyopiga kambi chini ya alama zao, pia hivyo ndivyo walivyoondoka, kila mmoja akiwa na ukoo wake na jamaa yake. \¬v \¬p \¬c