\v=2 \v~=Mwanaume awekapo nadhiri kwa \nd Bwana\nd*, au anapoapa kujifunga kwa ahadi, kamwe asitangue neno lake, bali ni lazima afanye kila kitu alichosema. \¬v \¬p