\v=5 \v~=Lakini kama baba yake akimkataza wakati anapoisikia, hakuna nadhiri wala ahadi yake yoyote aliyojifunga kwayo itakayosimama; \nd Bwana\nd* atamweka huru huyo mwanamwali kwa sababu baba yake amemkataza. \¬v \¬p