\v=16 \v~=“Wanawake hao ndio waliofuata ushauri wa Balaamu, nao ndio waliowasababisha Waisraeli wamwasi \nd Bwana\nd* kwa kile kilichotokea kule Peori, na kwa hiyo pigo liliwapata watu wa \nd Bwana\nd*. \¬v