\p \v=21 \v~=Kisha kuhani Eleazari aliwaambia askari waliokuwa wamekwenda vitani, “Haya ndiyo matakwa ya sheria ambayo \nd Bwana\nd* alimpa Mose: \¬v