\v=47 \v~=Kutoka hiyo nusu iliyokuwa ya Waisraeli, Mose alichagua moja kati ya kila hamsini ya wanadamu na wanyama, kama \nd Bwana\nd* alivyomwagiza, naye aliwapa Walawi, ambao waliwajibika kutunza Maskani ya \nd Bwana\nd*. \¬v \¬p