\v=50 \v~=Kwa hiyo tumeleta kama sadaka kwa \nd Bwana\nd* vyombo vya dhahabu kila mmoja wetu alivyopata, yaani vikuku, bangili, pete za muhuri, vipuli na mikufu, ili kufanya upatanisho kwa ajili yetu mbele za \nd Bwana\nd*.” \¬v \¬p