\v=52 \v~=Dhahabu yote kutoka kwa wakuu wa jeshi wa maelfu na wakuu wa jeshi wa mamia ambavyo Mose na kuhani Eleazari walimletea \nd Bwana\nd* kama zawadi ilikuwa shekeli 16,750\f + \fr 31:52 \ft Shekeli 16,750 ni sawa na kilo 200.\f* \¬v