\v=13 \v~=Hasira ya \nd Bwana\nd* iliwaka dhidi ya Waisraeli na akawafanya watangetange katika jangwa kwa miaka arobaini, mpaka kizazi chote cha wale waliofanya maovu mbele yake kimeangamia. \¬v \¬p