\p \v=23 \v~=“Lakini mkishindwa kufanya hili, mtakuwa mnatenda dhambi dhidi ya \nd Bwana\nd*; nanyi kuweni na hakika kuwa dhambi yenu itawapata. \¬v