\v=9 \v~=Baada ya kufika kwenye Bonde la Eshkoli na kuitazama nchi, waliwakatisha tamaa Waisraeli wasiingie katika nchi ambayo \nd Bwana\nd* alikuwa amewapa. \¬v