\v=38 \v~=Kwa amri ya \nd Bwana\nd*, kuhani Aroni alipanda Mlima Hori, mahali alipofia katika siku ya kwanza ya mwezi wa tano, mwaka wa arobaini baada ya Waisraeli kutoka Misri. \¬v