\v=11 \v~=Mpaka utaelekea kusini kuanzia Shefamu hadi Ribla upande wa mashariki wa Aini, na kuendelea kwenye miteremko mashariki mwa Bahari ya Kinerethi.\f + \fr 34:11 \ft Yaani Bahari ya Galilaya.\f* \¬v