\p \v=13 \v~=Mose akawaamuru Waisraeli: “Gawanyeni nchi hii kwa kura kama urithi. \nd Bwana\nd* ameagiza kwamba itolewe kwa yale makabila tisa na nusu, \¬v