\p \v=29 \v~=Hawa ndio watu ambao \nd Bwana\nd* aliamuru wagawanye urithi kwa Waisraeli katika nchi ya Kanaani. \¬v \¬p \¬c