\b \p \v=3 \v~=“ ‘Upande wenu wa kusini utajumuisha sehemu ya Jangwa la Sini kufuata mpaka wa Edomu. Upande wa mashariki mpaka wenu wa kusini utaanzia mwisho wa Bahari ya Chumvi,\f + \fr 34:3 \ft Yaani Bahari Mfu.\f* \¬v