\v=2 \v~=Wakasema, “\nd Bwana\nd* alipomwamuru bwana wangu kuwapa Waisraeli nchi kama urithi kwa kura, alikuamuru kutoa urithi wa ndugu yetu Selofehadi kwa binti zake. \¬v