\p \v=5 \v~=Ndipo kwa agizo la \nd Bwana\nd* Mose akatoa amri ifuatayo kwa Waisraeli: “Kile wazao wa kabila la Yosefu wanachosema ni kweli. \¬v