\v=6 \v~=Hivi ndivyo \nd Bwana\nd* anavyoamuru kwa binti za Selofehadi: Wanaweza kuolewa na mtu yeyote wampendaye, mradi tu waolewe miongoni mwa koo za kabila za baba yao. \¬v