\v=24 \v~=Kiongozi wa jamaa za Wagershoni alikuwa Eliasafu mwana wa Laeli. \¬v